HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Polisi amuua mkuu wake, Makueni

Afisa  aliyempiga risasi na kumuua Naibu wa OCS katika kituo cha polisi cha kaunti ya Makueni na kuwajeruhi maafisa wawili usiku wa kuamkia leo amekamatwa katika eneo la Nzaui akijaribu kutoroka.
Inadaiwa kuwa afisa huyo alikuwa kazini wakati alisikika na wenzake akisema kuwa alikuwa tayari kumuwauwa wenzake hadi sasa chanzo chake hakijulikani.

Show More

Related Articles