HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wamiliki wakusanyika katika makao makuu ya ardhi kudai hati miliki

Mamia ya wamiliki wa ardhi katika shamba la kampuni ya Embakasi Ranching walikongamana katika jumba la Wizara ya Ardhi hapa Nairobi hii leo kuwasilisha stakabadhi zao ili shughuli ya utoaji wa hati miliki ianze.
Hata hivyo, mzozo unaozingiora shamba hilo umefanya mambo kuwa magumu kwa wamiliki hao.
Kulingana na mwenyekiti wa kampuni hiyo ya Embakasi  Ranching iliyo na shamba  la ekari 18,000 wamiliki hao wangepaswa kufika katika afisi za kampuni hiyo mtaani Ruai na wala sio katika makao makuu ya  Wizara ya Ardhi.

Show More

Related Articles