HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Shisha yapigwa marufuku

Waziri wa Afya Cleopa Mailu leo amepiga marufuku  uuzaji , utengenezaji na uvutaji wa shisha kupitia toleo la gazeti rasmi la serikali akisema kuwa yeyote atakayepatikana atatozwa faini  isiyozidi  shilingi elfu hamsini au kifungo kisichozidi miezi sita .

Wakenya wamepokea kwa hisia mseto kupigwa marufuku kwa uraibu huo wa  shisha humu nchini huku wengine wakifurahia hatua hiyo baadhi yao wakisisitiza kuwa kila mmoja ana haki ya kujipa raha mwenyewe.

Show More

Related Articles