HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mzozo wa umiliki wa Kanisa katoliki wazua taharuki katika hospitali ya Lang’ata

Hali ya mshike mshike na taharuki ilikumba hospitali ya kimishionari ya Saint Mary’s jijini Nairobi mapema hii leo huku polisi wakilazimika kushika doria alfajiri ya leo kuhakikisha wasimamizi wapya wamechukua usimamizi mara moja.

Aidha wafanyikazi ambao walifika kazini hawakusazwa kwenye kizazaa hicho huku wengine wakijeruhiwa na hata wagonjwa kufungiwa nje.

Show More

Related Articles