BurudaniK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wenyeji wajitokeza kufanya maombi ya kitamaduni mlima kenya

Waumini kutoka tabaka mbalimbali kote nchini hii leo wamefanya maombi yao ya kila mwaka ambayo hufanyika wakiunzunguka mlima wa mt kenya kila mwaka tarehe 27 desemba.

na madhumni ya maombi ya  mwaka huu yakiwa ni kumshukuru maulana kwa ajili ya  taifa la kenya  kwa kudumisha amani hasa baada na hata wakati  wa uchaguzi mkuu.

Show More

Related Articles