HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Giza La Gaza: Upekuzi kuhusu magenge ya mitaani yanavyoahangaisha Nairobi

Ni genge ambalo limekuwa hatari kwa usalama miongoni mwa wakaazi  wa Kayole na viungani mwake.

Huku juhudi za kuliangamiza zikiendelea kushika kasi na kuonekana kuzaa matunda, ambapo zaidi ya vijana themanini wameuawa katika kipindi cha miezi 6.

Wanachama waliosalia wanasema mui huwa mwema na wako tayari kuasi uhalifu na kujishughulisha na ujenzi wa taifa kwa namna nyingine halali.

Tuipate taarifa hiyo kwenye  makala ya upekuzi ya Giza la Gaza sehemu ya pil naye Franklin Wallah.

Show More

Related Articles