HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Baba awadunga kisu na kuwaua wanawe wawili, Nyeri

Mama mmoja amemteketeza moto bintiye kwa tuhuma za kuja nyumbani kwa kuchelewa.
Huku haya yakijiri katika mtaa wa Riruta Satellite jijini Nairobi, nao maafisa wa polisi mjini Thika, kaunti ya Kiambu wamemkamata mwanaume mwenye umri wa makamu kutoka Makongeni huko Kiganjo aliyekuwa ana mpango wa kujitia kitanzi baada ya kuwaua watoto wake wawili.
Mwanaume huyo sasa anaendelea kupokea matibabu katika hospitali ya Thika level five.

Show More

Related Articles