HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wenye maduka walalamikia mauzo duni jijini Nairobi

Kipindi kirefu cha uchaguzi na kuanzishwa kwa mtaala mpya wa elimu kumepelekea bei ya sare za shule na vitabu kuongezeka.

Hivyo basi imewabidi wazazi kupunguza idadi ya bidhaa hizi wanazonunua ili kuafikia mpangilio ya bajeti zao.

Show More

Related Articles