HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wabunge washinikiza Matiang’i ajiuzulu

Wiki moja tu baada ya matokeo ya mtihani wa mwaka huu wa KCSE kutangazwa na Waziri wa Elimu Dakta Fred Matiang’i, viongozi mbali mbali wanazidi kukashifu matokeo hayo wengi wakidai kwamba huenda wanafunzi wakahujumiwa kwani wengi hawatajiunga na vyuo vikuu.

Na hii leo wabunge watatu wakiongozwa na mbunge wa Uriri Mark Nyamita, wamemtaka Waziri wa Elimu Matiang’i kujiuzulu mara moja na vile vile kuitaka kampuni ya kimataifa kuteuliwa ili kutathmini matokeo hayo.

Show More

Related Articles