HabariMilele FmSwahili

Kalonzo Musyoka na mkewe warejea nchini kutoka Ujerumani

Pauline Kalonzo, mkewe kinara wa NASA Kalonzo Musyoka, amerejea nchini mapema leo asubuhi akiandama na mumewe, kutoka ujerumani ambako amekuwa akipokea matibabu kwa zaidi ya miezi tano. Kalonzo anatarajiwa kesho kuzuru boma la mwendazake aliyekuwa mbunge wa Kitui Magharibi Francis Nyenze. Kalonzo alikosa kuhudhuria mazishi ya kiongozi huyo kwani alikwua amerejea Ujerumani kumhudumia mkewe.

Show More

Related Articles