HabariPilipili FmPilipili FM News

Wanafunzi Waungana Kilifi ili Kuendeleza Kaunti Hiyo Kimasomo

Wanafunzi wa vyuo vikuu na taasisi zengine za kielimu kaunti ya Kilifi wameunda muungano ambao utatathmini maendeleo ya elimu katika kaunti hiyo.

Wanafunzi hao, wamesema muungano huo pia utawapa msukumo viongozi kuhusu jinsi watakavyowasaidia wanafunzi katika masomo ya nyanjani sawia na ajira.

Katibu wa muungano huo Julius Kasena anasema kaunti ya Kilifi iko na wanafunzi wenye kiu cha masomo, lakini akashangazwa na hatua ya wanafunzi hao ya kukosa kuendelea na masomo kufuatia  ukosefu wa karo

Show More

Related Articles