HabariMilele FmSwahili

KRA yakanusha madai kuwa kiwango cha kodi inachokusanya kimepungua pakubwa

Mamlaka ya ukusanyaji ushuru KRA imekanusha madai katika baadhi ya vyombo vya habari kuwa kiwango cha kodi inachokusanya imepungua pakubwa. KRA imesema kinyume na madai hayo kiasi cha ushuru unaokusanywa umeongezeka kutoka shilingi bilioni 707.4 katika mwaka wa kifedha wa 2011/2012 hadi zaidi ya trilioni 1.3 katika mwaka huu wa kifedha.

Show More

Related Articles