HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta akutana na mkuu wa shirika la umoja wa mataifa la wakimbizi UNHCR Filipo Grandi

Rais Uhuru Kenyatta amekutana na kufanya mashauriano na mkuu wa shirika la umoja wa matiafa la wakimbizi UNHCR Filipo Grandi. Mkutano huo katika ikuli ya Nairobi umefanyika siku moja baada ya Grandi kutaka mpango wa kuwarejesha makwao wakimbizi kutoka Somalia katika kambi ya kamuka kusitishwa akitaja hali tete ya usalama nchini Somalia. Rais Kenyatta pia amekutana na waziri wa uhamiaji wa Canada Ahmed Hussen

Show More

Related Articles