HabariMilele FmSwahili

Rachel Nyamai achaguliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya bunge ya ardhi

Mbunge Rachel Nyamai amechaguliwa bila kupingwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya bunge ya Ardhi. Katika hafla iliyoandaliwa leo mbunge wa Lungalunga Khatib Mwashetani amechaguliwa naibu mwenyekiti wa kamati hiyo. Aidha mbunge Julius Melly pia amechaguliwa bila kupigwa kuhudumu kama mwenyekiti wa kamati ya elimu naye Amos Kimunya akichaguliwa naibu wake baada ya kumshinda Malulu Injendi kwa kura 11 dhidi ya sita.

Show More

Related Articles