HabariK24 TvSwahiliVideos

Vyeti vya shule za kuendesha magari nchini kufutiliwa mbali

Wizara ya usafiri ikishirikiana na ile ya usalama  imetoa agizo la kusajili upya shule zote za uendeshaji magari kama mbinu moja ya kuhakikisha idadi ya ajali zinazoshuhudiwa barabarani zinapungua.
Hii ni kufuatia vifo vya takriban watu 180 katika kipindi cha wiki mbili pekee zilizopita.
Kama anavyotuarifu Grace Kuria,waziri Matiangi, waliwasuta wananchi kwa utepetevu barabrani, hasaa madereva.

Show More

Related Articles