HabariK24 TvSwahili

Maafisa wa polisi wafumania watoto wapatao 90 katika jaribio la ulanguzi wa watoto,Mombasa

Watoto  95 hii leo wamenusuriwa kutoka mikononi ya wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa kundi haramu la kigaidi katika kaunti ya Mombasa.
Watoto hao wanaodaiwa kuwa walikuwa wanahudhuria madrasa katika eneo la Likoni walisafirishwa na maafisa wa usalama pamoja hadi kwenye kituo kikuu cha polisi cha eneo la Pwani .
Wanapofanyiwa upelelezi kubaini iwapo ni jaribio la ulanguzi wa Watoto.

Show More

Related Articles