HabariMilele FmSwahili

Maafisa wa Kliniki watia saini mkataba wa maelewano na baraza la magavana

Maafisa wa Kliniki wamesaini mkataba wa maelewano(CBA) na baraza la magavana. Mkataba huo utashuhudia maafisa hao kulipwa marupurupu ya kati ya shilingi 15,000 na 20,000,kupandishwa vyeo na kupewa likizo kuendeleza masomo yao. Mkataba huo umewadia mwenzi mmoja baada ya maafisa hao kusitisha mgomo uliodumu zaidi ya siku 50 kushikiniza mkataba wao kutambuliwa.

Show More

Related Articles