HabariMilele FmSwahili

Watu 3 wafariki kufuatia maporomoko ya mchanga kaunti ya Makueni

Watu watatu wameangamia kufuatia maporomoko ya mchanga karibu na mto Mukaa kaunti ya Makueni. Juhudi za uokozi zinaendelea kuwawaokoa watu wengine watano wanaohifiwa kuzikwa wakiwa hai. Aidha watu wawili wameokolewa wakiwa hai.

Show More

Related Articles