HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Shule kadhaa zapokea maombi ya wanafunzi wasiolala shuleni

Wazazi wamefurika kwenye shule  za bweni ambazo zitaanza huduma ya mafunzo kwa wanafunzi wa kurejea nyumbani huku shule ya upili ya Upper Hill ikipokea zadi ya barua 400  za maombi ya wanafunzi wanotaka kujiunga nayo.
Haya yakifanyika licha ya kuwa  kuna takriban nafasi hamsini kwa kila shule ambayo itaanza kutoa huduma hiyo.

Show More

Related Articles