HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wahanga 19 kati ya 21 waliofariki ajalini Marigat wazikwa

Watu 19 kati ya 21 waliopoteza maisha yao kwenye ajali ya barabara eneo la Marigat kuelekea Loruk wamezikwa leo eneo la Kapedo.
Viongozi waliohudhuria mazishi hayo wakiongozwa na Gavana wa Turkana Josphat Nanok walilaumu ukosefu wa usalama kama sababu iliyowafanya wenyeji kuabiri gari hilo la polisi huku wakiitaka serikali iimarishe usalama katika eneo hilo.
Waombolezaji wanadaiwa kushambuliwa na wahalifu wakati wa hafla hiyo.

Show More

Related Articles