HabariMilele FmSwahili

Vyombo vya habari vyalaumiwa kuegemea NASA na Jubilee wakati wa uchaguzi uliopita

Vyombo vya habari vimelaumiwa kwa kuegemea upande wa NASA na Jubilee wakati wa uchaguzi mkuu Agosti nane na Oktoba 26.Haya ni kwa mujibu wa mwenyekiti wa shirika la Peace Pen Mildred Ngesa anayesema baadhi ya vituo  vya radio vilitoa taarifa ambazo zingeibua chuki miongoni mwa wakenya.Anasema taarifa zilizotolewa ziliathiriwa na misimamo ya kisiasa  ya wamiliki wake au wahariri wa  habari katika vituo hivyo.

Show More

Related Articles