HabariMilele FmSwahili

Kesi ya kupinga ushindi wa gavana wa Vihiga Otichilo yatupiliwa mbali

Gavana wa Vihiga Wilber Otichilo amepata afueni baada ya mahakama kuu kutupilia mbali kesi ya kupinga ushindi wake. Aliyekuwa gavana Moses akaranga alkwnda maghakamani kupinga ushindi wa gavana Otichillo akitaka ushindi wake utupiliwe mbali. Kwengineko mahakama kuu mjini Busia imetupilia mbali kesi ya kupinga ushindi wa mbunge wa Budalangi Raphael Wanjala. Walalamishi Mercy Mola na John Ndagwa walipnga ushindi wa wanjala wakidai uchaguzi ulikumbwa na visa vya ghasia na baadhi ya raia wa Uganda kupiga kura mnamo Agosti nane.

Show More

Related Articles