HabariMilele FmSwahili

Kenya yatia saini mkataba na shirika la Global Fund kupiga jeki jitihada za kupambana na Ukimwi Malaria na kifua kikuu

Kenya imesaini mkataba na shirika la Global Fund kupiga jeki jitihada za kupambana na ukimwi, malaria na kifua kikuu. Mkataba huu ambao umesainiwa baina ya wizara ya fedha na ile ya afya, utapelekea Kenya kupokea msaada muhimu kutoka shirika hilo kati ya mwaka 2018 – 2021. Mwakilishi wa Global fund nchini Linden Morris anasema shirika hilo litaendelea kuongea msaada wake kutokana na jinsi fedha hizo zinavyotumiwa.

Show More

Related Articles