HabariPilipili FmPilipili FM News

Oburu Oginga Achaguliwa kuwakilisha kenya Katika Bunge la afrika mashariki

Aliyekuwa mbunge wa Kamkunji Simon Mbugua, Nduguye kinara wa NASA Raila Odinga Oburu Oginga, na mwanawe Kalonzo Musyoka Kennedy Musyoka ni miongoni mwa watu 9 waliochaguliwa kuwakilisha kenya Katika Bunge la afrika mashariki EALA.

Wengine ni mbunge wa Tigania mashariki Mpuri Aburi , aliyekuwa mwakilishi wa kinamama kaunti ya Wajir Fatuma Ibrahim, aliyekuwa mbunge wa mandera kaskazini Adan Nooru miongoni mwa wengine.

Tisa hao wanatarajiwa kuapishwa rasmi siku ya jumatatu mjini Arusha nchini Tanzania, katika makao makuu ya bunge la Afrika mashariki

Show More

Related Articles