HabariMilele FmSwahili

Wauguzi katika kaunti ya Vihiga watoa makataa ya mgomo

Wauguzi katika kaunti ya Vihiga wametoa ilani ya siku saba ya mgomo iwapo msimamizi wa idara ya afya kaunti hiyo Polycarp Opiyo hataondolewa afisini kwa tuhuma utendakazi mbovu. Kwa mujibu wa katibu wa muungano wa wauguzi katika kaunti hiyo Caleb Maloba msimamizi huyo anaitumia afisi yake vibaya kwani wengi wa wauguzi hawajapandishwa vyeo licha ya kuongeza masomo yao.

Show More

Related Articles