HabariMilele FmSwahili

Zoezi la kuwarejesha makwao wakimbizi kutoka Somalia katika kambi ya Daadab kuendelea leo

Zoezi la kuwarejesha makwao wakimbizi kutoka Somalia waliomo katika kambi ya Daadab inaendelea leo. zoezi hilo lililoanza jana litapelekea wakimbizi 2000 kurejeshwa oSmalia kwa hiari. Hatua hii inafuatia mgogoro uliokumba kambi hiyo baada ya wakazi kutaka huduma zinazotolewa na shirika la umoja wa mataifa la wakimbizi UNHCR kusitishwa wakilalamikia kutengwa.

Show More

Related Articles