HabariK24 TvSwahiliVideos

WaPokot wanavyowaadhibu wanaoshiriki uroda nje ya ndoa 

Je , iwapo utamnasa mkeo akifanya mapenzi na mtu mwingine, utamfanyia nini mshukiwa?
Bila shaka  ni suali gumu. lakini katika kaunti ya Baringo,  jamii ya wapokot ina njia mwafaka ya kuwaadhibu washukiwa, kwa kuwapeleka mbele ya baraza la wazee, na kuwatoza  mbuzi sita, ngombe sita , kuwachapa viboko sita na pia kuwatoza shilingi mia sita.
Kuna bingwa mmoja alipatikana na hilo  kosa hivi maajuzi na kupata adhabu hiyo,kama anavyosimulia Frankline Macharia.

 

Show More

Related Articles