HabariK24 TvSwahiliVideos

Fununu zipo vinara wa NASA walipokea mabilioni kusalimu amri


Rais Uhuru Kenyatta kwa mara nyingine amewataka viongozi wa upinzani NASA kulegeza misimamo yao migumu ya kisiasa na kujiunga na serikali kwenye jitihada za kuliendeleza taifa hili.
 
Haya yanajiri huku kukiibuka madai kwamba vinara wa NASA walipokea mabilioni ya pesa kutoka kwa wafanyibiashara wanaoegemea Jubilee, ili kutupilia mbali azimio la kumuapisha kinara wa NASA Raila Odinga.

Show More

Related Articles