HabariMilele FmSwahili

Viongozi wa Wiper watakiwa kukomesha siasa na kujiunga na Jubilee ili kuimarisha maeneo yao

Kinara wa Wiper Stephen Kalonzo Musyoka pamoja na viongozi wa NASA kutoka ukambani wametakiwa kukomesha siasa za sasa na kushirikiana na rais Uhuru Kenyatta kuendeleza eneo hilo. Akizungumza eneo la Sombe, Kitui mashariki kaunti ya Kitui, mbunge wa Kitui mashariki Nimrod Mbai amesema muda wa siasa umekamilika na ni wakati wa viongozi wote kuwatumikia wananchi. Aidha amewataadharisha viongozi dhidi ya kuchochea wafuasi wao kuhujumu ajenda ya maendeleo ya serikali ya Jubilee.

Show More

Related Articles