HabariMilele FmSwahili

Wabunge wajiandaa kupiga kura kuwaidhinisha watakaohudumu kwenye kamati za bunge

Wabunge leo wanajiandaa kupiga kura kuwaidhinisha watakaohudumu katika kamati mbili muhimu za bunge. Kiongozi wa serikali bungeni Adan Duale anasema bunge pia litalazimika kuandaa mkao wa asubuhi Alhamisi kukamilisha shughuli muhimu kabla ya kuelekea likizo ndefu. Pia wanajiandaa kupiga kura alhamisi kuwachagua wawakilishi wa Kenya katika bunge la Afrika mashariki, EALA.

Show More

Related Articles