HabariMilele FmSwahili

Polisi wa trafiki walaumiwa kwa maafa ya ajali za barabarani

Polisi wa trafiki ndio wa kulaumiwa kufuatia maafa yaliyoshuhudiwa kutokana na ajali za barabarani katika muda wa siku nne zilizopita. Ni kauli ya mwenyekiti wa chama cha wamiliki wa matatu Simon Kimutai anayedai idara ya trafiki imefeli kuhakikisha sheria za trafiki zinafuatwa. Kulingana naye afisa wa trafiki wamekuwa wakijihusisha zaidi katika ukusanyaji hongo kutoka kwa madereva badala ya kuhimiza usalama barabarani.

Show More

Related Articles