Pilipili FmPilipili FM News

Ardhi Ya Mtaita Na Mtaveta Haitapotea Samboja Aapa

Gavana wa Taita Taveta Granton Samboja ameapa kulinda ardhi ya kaunti yake dhidi ya uvamizi kutoka kaunti jirani.

Akiongea kwenye sherehe za 54 za jamhuri zilizoadhimishwa mjini Wundanyi, Samboja ameomba viongozi wa kisiasa na wale wa utawala kutoka kaunti hiyo na ile jirani ya Kwale kushirikiana kuhakikisha suluhu linapatikana pasi na vurugu au umwagikaji wa damu.

Show More

Related Articles