HabariPilipili FmPilipili FM News

Ruto: Serikali Ya Jubilee Itawashirikisha wakenya wote

Naibu wa rais  William Ruto amewapongeza mashujaa wapiganaji wa uhuru akisema walijitolea kwa hali na mali kuikomboa nchi hii kutoka kwa utawala wa ukoloni.

Akizungumza kwenye sherehe za Jamuhuri jijini Nairobi Ruto amesema serikali ya rais  Uhuru Kenyatta itawashirikisha wakenya wote bila kujali mirengo wanayoegemea.

Aidha amechukuwa fursa hiyo kuwapongeza wakenya kwa kuwachagua tena kwa kipindi cha pili

Show More

Related Articles