HabariMilele FmSwahili

Polisi wamzuilia mama aliyemuua mwanawe kaunti ya Trans Nzoia

Polisi  kaunti ya Trans Nzoia wanamzuilia mama mmoja  anayedaiwa kumuua mwanawe kwa kumgonga kichwani alipochelewa kurejea nyumbani kutoka dukani.  Janet Indimuli mkaazi wa Kapkoi Sisal adaiwa alimpiga mwanawe wa kiume wa umri wa maiaka 13 kwa kuni. Kamanda wa polisi Trans Nzoia Samson Ole Kina amedhibitisha kisa hicho.

Show More

Related Articles