HabariMilele FmSwahili

Mahakama yaagiza kufanyiwa uchunguzi wa kiakili mamake mtoto aliyepatikana na shindano mwilini Thika

Mahakama ya Thika imeagiza Jacinta Ndunge mamake mtoto aliyepatikana na sindano 14 mwilini kufanyiwa uchunguzi wa kiakili. Wazazi wa mtoto huyo wa miezi 10 wameshtakiwa kwa kosa la kumdhulumu baada yake kupatikana na sindano mgongoni. Hata hivyo ndunge pamoja na mumewe wanashikilia kuwa hawafahamu jinsi sindano hizo zilivyoingia kwenye mwili wa mwanao.

Show More

Related Articles