BiasharaMilele FmSwahili

Benki ya KCB ndio benki bora zaidi nchini

Benki ya KCB ndio benki bora zaidi nchini ikifuatiwa na ile ya Equity kisha benki ya Cooperative. Hii ni kulingana na ripoti iliyotolewa na kampuni ya kutoa huduma za kifedha ya Cyton ya robo ya kwanza ya mwaka huu wa 2017. Orodha hiyo imetolewa kwa kuangazia huduma zinazotolewa na benki hiyo matumizi ya teknolojia na wateja wake. Ni ripoti inayotolewa wakati sekta ya benki ikikabiliwa na changamoto ya kuanza kutekelezwa kwa sheria ya kudhibiti viwango vya riba.

Show More

Related Articles