HabariMilele FmSwahili

Baraza la wazee laongoza vita dhidi ya ukeketaji eneo la Trans Mara

Baraza la wazee limeapa kuongoza vita dhidi ya ukeketaji wasichana eneo la Trans Mara magharibi. Wazee wakiongozwa na Daniel Ole Koisaba wamewaonya machifu dhidi ya kuruhusu uovu wa tamaduni hiyo kuendelezwa katika maeneo yao. Takwimu hata hivyo zinaonyesha kuwa visa vya ukeketaji vimepungua pakubwa katika eneo hilo

Show More

Related Articles