HabariK24 TvSwahiliVideos

Wasanii 8 wafariki katika mkasa wa ajali eneo la Timboroa

Watu 16  waliojeruhiwa katika ajali ya barabarani kaunti ya Baringo walipokuwa wanaelekea kapedo hapo jana wamelazwa kwenye hospitali ya  Kabarnet ambapo wanaendelea kupokea matiababu.

Haya yanajiri huku waombolezaji wakifurika kwenye  chumba cha kuhifadhi maiti cha  Molo , ambako  mili ya wanamuziki 8 wa nyimbo za Kikalenjin akiwemo kenene imelazwa baada ya jamaa hao kufariki kwenye  mkasa wa  ajali eneo la Timboroa.

Show More

Related Articles