HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Barobaro ajiteketeza moto kufuatia ugomvi na mpenziwe 

Wakaazi wa  kijiji cha Sinyereri kutoka kaunti ya Transzoia walipigwa na butwaa  baada ya barobaro wa miaka ishirini na tano kujiangamiza kwa kujiteketeza moto kufuatia ugomvi na mpenziwe kutokana na kile kinadaiwa ni mzozo wa simu.
Mwendazake anadaiwa kujimwagilia petroli na kujiwasha moto,  kuelezea ghadhabu zake  kutokana  na hatua ya mpenzi wake kupokea simu ya mwanamume mwengine wakiwa pamoja.

Show More

Related Articles