HabariMilele FmSwahili

Zoezi la kuwateua wanafunzi wa shule za upili za kaunti lang’oa nanga

Zoezi la kuwateua wanafunzi watakaojiunga na shule za upili za kaunti mwaka ujao imengoa nanga katika kaunti zote 47 nchini. Zoezi hili linajiri baada ya kuandaliwa lile la kuwachagua wanafunzi watakaojiunga na shule za kitaifa. Walimu wakuu wa shule za upili za kaunti wanaoongoza shughuli hiyo wamepongeza wizara ya elimu kwa kuagiza uteuzi kuendeshwa mapema wakisema itawapa walimu wakati wa kutosha kukamilisha silabasi  kwa muda uliowekwa

Show More

Related Articles