HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Bodi ya madawa yaonya vijana wanatumia sana na visivyo, Viagra

Bodi ya  dawa nchini -KMPDU inaonya kwamba  matumizi ya dawa za kusisimua nguvu za kiume almarufu Viagra na dawa za kukinga mimba baada ya kushiriki tendo la mapenzi bila kinga imeongezeka nchini huku ikionya kwamba  mtindo huo unahatarisha afya ya watumizi wa dawa hizo.
Haya yanajiri baada ya wiki moja ya msako mjini Mombasa na bodi hiyo kukabiliana na wauzaji dawa bandia ambao hawajaidhinishwa  ambapo takriban watu 40 walitiwa mbaroni  kwenye msako huo.

Show More

Related Articles