HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Kinara wa NASA , Raila Odinga ameapa kujiapisha tarehe 12 Disemba 

Kinara wa NASA Raila Odinga ameyashtumu vikali mataifa ya kigeni kwa kumtaka kutupilia mbali mpango wake wa kujiapisha na badala yake kukumbatia mazungumzo.
Odinga amesema kuwa yeye hajakiuka sheria wala katiba kwa vyovyote vile kama ilivyodaiwa na Mwanasheria Mkuu Githu Muigai na kwamba ataapishwa wiki ijayo.

Ameyasema hayo wakati viongozi wa NASA walipojumuika na baadhi ya familia zilizokuwa zikichukua miili ya wapendwa wao kutoka chumba cha kuhifadhi maiti cha City.

Show More

Related Articles