HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Wanawake wanaorandaranda mijini wataabika kwa kukosa sodo 

Changamoto ya wanawake wanaorandaranda mitaani kupata sodo wakati wa hedhi haijaangaziwa sana kutokana na washikadau ikiwemo serikali kuu na za kaunti kulipuuza jambo hilo, na badala yake kulimbikiziana lawama kuhusiana na anayetepetea kazini licha ya ufadhili ulioko chini ya Wizara ya Ugatuzi.

Mwanahabari wetu Jasmine Wambui alikutana na baadhi ya wanawake hawa ambao ni wazazi na kujionea masaibu wanayopitia, na kutuandalia taarifa ifuatayo.

Show More

Related Articles