HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

NTSA yazindua kampeni ya kuondoa dhulma za kijinsia 

Halmashauri ya safiri na usalama barabarani NTSA kwa ushirikiano na muungano wa Equality Now Africa imezindua kampeni ya kuwahamasisha wasafiri na wahudumu wa magari ya umma kuhusu dhuluma za kijinsia kwenye magari ya usafiri wa umma.
Kampeni hiyo inalenga kuhakikisha visa vya dhulma za kijinsia vimekwisha na kuwarai wasafiri kupiga ripoti endapo visa kama hivyo vitawatendekea.
NTSA imetoa nambari ya moja kwa moja ya kuwezesha waadhiriwa kupiga ripoti kwa haraka ili kuwapa nafasi kuchukua hatua ya dharura kuhusiana na visa vya dhuluma za kijinsia.

Show More

Related Articles