HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Rais Kenyatta atia saini sheria ya ugavi wa mabilioni mashinani

Rais Uhuru Kenyatta ametia sahihi mswaada wa ugavi wa fedha kwa kaunti .
Hatua hii sasa inaipa wizara ya fedha nafasi kutoa fedha kwa serikali za kaunti ambazo zimelalamika kutoweza kuendesha shughuli za kaunti.
Kaunti nyingi zimekuwa zikilalama kwa kukosa fedha za kuendsha miradi tofauti pamoja na kutowalipa wafanyikazi mishahara.
Haya yanajiri huku baraza la magavana likianzisha warsha ya kuwahamasisha wananchi kuhusiana na ugatuzi.

Show More

Related Articles