HabariMilele FmSwahili

Nanok :Ufisadi unasalia kizingiti kikuu cha utendakazi wa kaunti

Ufisadi unaslia kizingiiti kikuu cha utendakazi wa kaunti. Mwenyekiti wa baraza la magavana Josephat Nanok anakiri licha ya raslimali za umma kuelekezwa kwenye kaunti watu wachache wamekosa kuwajibikia matumizi ya raslimali hizo hali nayosema ni lazima ikabiliwe. Akizungumza katika kongamano la sita kuhusu tume huru na zile za kikatiba, Nanok amekariri watashirikiana na tume ya mishahara nchini kupunguza kiwango cha fedha kinachoelekezwa kwa mishahara.

Show More

Related Articles