HabariMilele FmSwahili

Mbunge wa Kitui Magharibi Francis Nyenze aaga dunia

Mbunge wa Kitui Magharibi Francis Nyenze ameaga. Nyenze amefariki akipokea matibabu katika hospitali ya Nairobi. Itakumbukwa kiongozi huyo kutoka eneo la Ukambani aliapishwa akiwa na mtungi wa gesi ya kumsaidia kupumua. Aliwahi kuhudumu kama kiongozi wa wachache katika bunge lililopita.

Show More

Related Articles