HabariMilele FmSwahili

Ofisa mkuu mtendaji wa maduka ya Uchumi Julius Kipngetich ajiuzulu

Ofisa mkuu mtendaji wa maduka ya jumla ya Uchumi dkt Julius Kipngetich amejiuzulu. Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa uchumi Dkt Catherine Ngahu amedhibitisha kuwa dkt Kipngetich aliyehudumu kwa miaka miwili alijiuzulu Novemba 30. Afisa kuu wa fedha Mohamed Ahmed Mohamed amechukuwa hatamu kama kaimu afisa mkuu mtendaji.

Show More

Related Articles