HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Rais Kenyatta afungua kikao, atetea marufuku ya plastiki nchini

Rais Uhuru Kenyatta amefungua rasmi kongamano la tatu la umoja wa mataifa kuhusu mazingira, katika makao makuu ya umoja huo hapa jijini Nairobi.
Katika hotuba yake, Kenyatta amesema kuwa, Kenya ilichukua hatua ya ujasiri ya kupiga marufuku uagizaji, utengenezaji na matumizi ya mifuko ya plastiki, katika vita dhidi ya uchafuzi wa mazingira.

Show More

Related Articles