HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Mgaagaa na Upwa: Wazee wanaogaagaa kama wafinyanzi, Kakamega 

Kazi ya ufinyanzi huhitaji uweledi kwani, vyombo kama vyungu huhitaji ubunifu wa hali ya juu.
 
Katika eneo la Ilesi kaunti ya Kakamega, kutana na wazee ambao wamebobea katika kazi hii ya ufinyanzi wa vyungu.

Show More

Related Articles